kama walikaa siti ya nyumba mnawachungulia ili iweje,nyie angalien mbele kwa dereva
Waliopanda daladala wazembe c wangemchapa
Obama alivyokuwa kamlavidavi mkewe watu walisifia..he is such a jentomani!!mwenzetu nae alikuwa anatafuta promo...enheee msimuliaji...jamaa kanawa kabsaa au ...vp hukusikia kafleva?
uweshasema marekani,na hapa ni bongo hunioni tofauti hiyo?kusoma hujui lakini ata picha huoni?
pamoja sana mkuuhahahahaaaa.....kuna watu walisha kunya aibu zao!. mia
kama walikaa siti ya nyumba mnawachungulia ili iweje,nyie angalien mbele kwa dereva