Zacharia Kifyasi
Senior Member
- Dec 23, 2012
- 135
- 24
Nilipata hasira sana nilipoona hii habari kwenye tv jana.
Nikajiuliza, kanisa limekosea wapi mpaka hali inafikia hapo.
Nikazidi kuona kuwa kanisa limepoteza dira,
linaanzisha miradi mingi ambayo linashindwa kuisimamia,
la sivyo ni hii ya kupeana ajira ambayo matokeo yake ni kuoneana aibu.
Nadhani walikosea kumwacha retired MKURUGENZI pale. kiuongozi siyo jambo mzuri kumwacha mtu aliye staafu kituo kilekile kwasababu wakati mwingine asiengependa kuona mtu aliye chukua nafasi yake akifanya positive changes angetamani mrithi wake awe conservative na awe muumini wa mambo aliyo yaasisi yeye. Aweza kuwa ndio source ya sintofahamu nyingi zinazotokea pale.Alikuwepo mkuu wa shule mmoja pale mzuri tu akafanyiwa zengwe mpaka wakamtoa.
. Mwambashi baada ya kustaafu alibaki pale pale. Mkuu wa shule unayemsema alifanyiwa zengwe ni Merisali?Nadhani walikosea kumwacha retired MKURUGENZI pale. kiuongozi siyo jambo mzuri kumwacha mtu aliye staafu kituo kilekile kwasababu wakati mwingine asiengependa kuona mtu aliye chukua nafasi yake akifanya positive changes angetamani mrithi wake awe conservative na awe muumini wa mambo aliyo yaasisi yeye. Aweza kuwa ndio source ya sintofahamu nyingi zinazotokea pale.Alikuwepo mkuu wa shule mmoja pale mzuri tu akafanyiwa zengwe mpaka wakamtoa.
. Mwambashi baada ya kustaafu alibaki pale pale. Mkuu wa shule unayemsema alifanyiwa zengwe ni Merisali?
Malasusa hebu sikiliza kilio cha Kondoo wako....Nimeikumbuka Agape Seminary na St. Dorcas zote za Kilimanjaro shule hizi zipo imara sana....