AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,040
Unajidanganya ndugu yangu. Malaria Sugu huyu huyu au mwingine? Tabia yake ndio hii ya kubadilika badilika lakini sio kujivua gamba. Sijui
Inasemekana kuwa MS anataka kujivua Gamba ila hajui aanzie wapi. Hii imetokana jana baada ya MS kujibiwa Hoja zake na Rais wetu Dr.Slaa na MS kuzikubali na kulainika kiasi cha kutaka kuichoma moto kadi ya magamba mda huo huo. Source kutoka kwa mtu wa karibu inasemekana kuwa MS anafikiria kuiridisha kadi ili achukuwe ya chadema. Inasemekana pia siku atakayojivua Gamba pia atatoa taarifa hapa JF
MS anaanza kupona Malaria sasa na kuuona mwanga
Acha umbea...mtu wa karibu wa MS ni nani kama sio wewe mwenyewe?
Nilifikiri utajibu hoja!ndugu zangi. Mimi ni mtanzania kama nyinyi, tunatafautiana kiitikadi. namuheshimu sana dk slaa kwa majibu mazuri alionipa. lkn naunga mkono maneno ya wapinzani Bungeni. SIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Who is malaria sugu mpaka thread inaanzishwa kumzungumzia?
naona ms umejibadili jinsia we kweli nomaCDM mngepata kichwa kimoja tu kama cha MS humu JF mngetamba sana. Nashkuru kuwa MS hayupo upande huo na sababu zake za kutokuwa huko zinakubalika.
MS hawakuwezi hawa.
Unajianzishia thread mwenyewe kweli wewe kiboko