Malangali (MGL) Sec. nimekukumbuka!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malangali (MGL) Sec. nimekukumbuka!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mmbangifingi, Jan 9, 2012.

 1. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  "Malangali, shule yetu,kweli tunaaaakupenda sanaaaaaa............"x2 Ulikuwa ndo wimbo wa shule. Nakumbuka Orchad iliyosheheni mipera, bustani iliyojaa miparachichi. Mwilavila, Isimikinyi, Ulefi (kwa dalali). Wapi Butu (kimini bus), Ngugi, Pocho,,, wapi Mwl Lotti (wa safari) wakati ule shule ikifungwa mwanafunzi unasafirishwa hadi nyumbani na wakati unarudi unawasilisha tiketi za basi unarejeshewa pesa yako yote! Oooohh those old days!
   
 2. Malcom Lumumba

  Malcom Lumumba JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 4,856
  Likes Received: 8,247
  Trophy Points: 280
   
 3. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  SHULE YA KUCHEKESHA SANA HII, MALANGALI MLIINGIA TOP TEN (namba kumi) MWAKA 2010,MWAKA ULIOFUATA MKASHIKA NAMBA78 KITAIFA . HAHAHAHAAHA
   
Loading...