Malalamiko ya watumishi juu ya Utawala wa miaka mitano

Kama mzee wa visasi akirudi Tena watumishi watalimia kucha awapendi thus anawakomoa eti sababu walimpigia kura Lowasa, sawa na kuwabomolea wachaga nyumba zao kimara kwa kuwakomoa kwa kutompigia kura.
Atawashughulikia kweli kweli nashangaa haya makurugenzi ya uchafuzi yanajipendekezea nini kwa mtu katili amejaa chuki, hila na visasi akiamini anamiliki akili zetu
 
Hii comment itakuwa imeandikwa na mama Jessica.
Mimi huwa nawashangaa kweli mnaolalamika mitandaoni kuhusu nyongeza ya mishahara na kupanda vyeo. Napenda kusema hivi kupanda cheo sio automatic inategemea ujuzi, weledi, bidii, uaminifu n.k kuhusu ajira hii ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa kama upande mmoja hauridhiki unavunja mkataba. Sasa kama ndugu yangu hujaridhika na unachopata acha kazi alafu uone maelfu wtakaonga'nga'nia nafasi yako acha kutisha mwajiri ndugu yangu ata mimi pia nipo standby uache hiyo nafasi nije kuiziba.
 
1. Hakuna nyongeza ya kila mwaka tangu mwaka 2015

2. Hakuna Nyongeza ya mshahara.

3. Muda wa Kupanda madaraja umeongezwa kutoka miaka 3 ya sheria aliyoacha Kikwete hadi miaka 4.

4. Madaraja ya watumishi kwa sasa imekuwa mbinde mpaka uwe na ndugu Tamisemi (Connection)

5. Watumishi wakistaafu kwa sasa zaidi ya nusu wanakufa bila kulipwa kiinua mgongo chao,wanaishi kwa madeni na stress mpaka wanakufa kwa kihoro.

6. Watumishi waliwekea Kikokotoo cha Kinyonyaji mpaka baadhi wakaanza kufa baada ya kupewa fedha kichele kwa madai kuwa Kikokotoo kimeboreshwa.hata hivyo Magufuli allkirudi aliahidi kukirudisha 2023 na ndio maana sasa kila mtumishi anafoji vyeti vya ugonjwa ili astaafu kabla ya kikokotoo Kipya endapo Magufuli atarudi Madarakani(Jiandaeni kufa maskini)

7. Watumishi wanadhalilishwa na wanasiasa mbele ya camera na familia zao zinawaona wanavyodhalilishwa.

8. Hakuna mtumishi anaefanya kazi tena kwa kujiamini,kila mmoja haitambui kesho yake.

9. Watumishi waliojiendeleza kwa kupata mkopo bodi ya Mikopo serikali hii ilivunja mkataba wa kulioa rejesho la asilimia 8 lililoachwa na Kikwete na kuweka rejesho la 15% ,sasa watumishi wana mishahara ya laki mbili halafu naisha ndio haya ya Kg ya sukari 2800.

Uchaguzi umefika, watumishi ndio wasimamizi wa uchaguzi, kazi kwenu kuweka mtawala atakaewasikiliza au atakae zidisha mateso yenu.

Wenye vyeo na mishahara mikubwa wasiwaponze ninyi wenye mishahara iliyosheni mikopo.

Hatima ya maslahi yenu ipo mikononi mwenu,mimi nimefikisha ujumbe.
Kura kwa TAL tu

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa nawashangaa kweli mnaolalamika mitandaoni kuhusu nyongeza ya mishahara na kupanda vyeo. Napenda kusema hivi kupanda cheo sio automatic inategemea ujuzi, weledi, bidii, uaminifu n.k kuhusu ajira hii ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa kama upande mmoja hauridhiki unavunja mkataba. Sasa kama ndugu yangu hujaridhika na unachopata acha kazi alafu uone maelfu wtakaonga'nga'nia nafasi yako acha kutisha mwajiri ndugu yangu ata mimi pia nipo standby uache hiyo nafasi nije kuiziba.
Akili kama hii ukajaze nafasi ya nani? Endelea kujambia makochi ya shemeji yako.
 
Back
Top Bottom