Malalamiko ya udini yapo kila sehemu

Acha uongo, Kigoma Malima siye aliyeanzisha namba kwa watainiwa
 
Wewe unadanganya jambo ambalo haukuwepo, mimi nilisoma kwenye shule ya msingi White Father Tabora mjini mwaka 1957 ambapo kulikuwa na kanisa pamoja na sekondari ya Saint Mary, hapo shuleni tulikuwepo wanafunzi was dini zote hats wapagani lakini hakuna hata siku moja padri au sister akifika kutushawishi kwenda kanisani japo lilikuwepo karibu na shule. Tatizo lililokuwepo hasa pwani ni wazazi kutowapeleka shule watoto kwa kisingizio cha kubadilishwa dini! tatizo hili mpaka sasa lipo pwani ambapo wazazi wanawaficha au wanawalazimisha watoto wajifelishe, na wengine kudai madrasa in bora zaidi. Ushauri, usiongelee jambo ambalo haukuwepo au haukushiriki.
 
Well said mkuu!
 
Tido na Charles in waislam au unaropoka bila kufanya tafiti ya kutosha wasomi wengi tz ni wakristo hapo azam wapo hasa kazi za kitaalamu Fanya tafiti vizuri
 
Raisi Kikwete,profesa Lipumba Na Maalimu Seif Hawa Wote Walisomeshwa Na Kanisa Mpaka Hadi Wamekuja Kuwa Viongozi Wakubwa Sasa Wewe Jiulize Kuna Msikiti Ambao Unaweza Msomesha Mkristo ?
 
Raisi Kikwete,profesa Lipumba Na Maalimu Seif Hawa Wote Walisomeshwa Na Kanisa Mpaka Hadi Wamekuja Kuwa Viongozi Wakubwa Sasa Wewe Jiulize Kuna Msikiti Ambao Unaweza Msomesha Mkristo ?
Weeee asomeshwe kafir???
 
Udini upo sana TZ,mwanangu anasoma shule 1 ya private si ya kidini,juzi kati nikajikuta kuna mwl kaniadd grp la whatsapp la wazazi wa wanafunzi wakatoliki wa hiyo shule,hlf mimi si mkatoliki,yanayoongelewa mle ni hatari!
 
Nyie mnaonhea mbo ambayo hamjakutana nayo ila udini hapa tz upo kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…