Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,461 Nov 15, 2014 #41 ssalaf said: cha wiki toka 8 Gb to 2G na cha siku 1Gb to 900mb Click to expand... hii kitu nimekuja kuishtukia jana,nimejiunga kichwa kichwa kifurushi cha siku nikijua ntapata 1gb kuja kucheki ni 900mb daaah dakika 20 tu kimeisha full ujinga huu mtandao.
ssalaf said: cha wiki toka 8 Gb to 2G na cha siku 1Gb to 900mb Click to expand... hii kitu nimekuja kuishtukia jana,nimejiunga kichwa kichwa kifurushi cha siku nikijua ntapata 1gb kuja kucheki ni 900mb daaah dakika 20 tu kimeisha full ujinga huu mtandao.