Kuna watu wanajaribu kuharibu image ya huyu dogo............anajitahidi kuupa muziki thamani walau Kibongobongo..........swala la sauti nadhani kweli ni tatizo kwa wasanii wetu wengi......wanamezwa sana na kukata mauno hadi umakini wa ubora wa sauti unapotea..........sometimes watu wanataka kusikia mpangilio wa sauti na meseji kupenya vizuri na kucheza sehemu kubwa unawaachia dancers na msanii anakuwa anacheza mara chache ili aweze ku control vizuri vocal.......lakini siku hizi unaweza kufikiri wote ni wacheza shoo na hakuna msanii maana akili yote ipo kwenye mauno tu...........