mala sasa makadirio ya watu 100000 wamepoteza kazi zao

concordile 101

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
1,221
2,000
Toka mwaka 2015 kulingana na sera Mpya ya uongozi wetu na Kwa utafiti wangu binafsi, ni kuwa kuna idadi ya watu zaid ya 100000 wamepoteza Ajira Zao na idadi kama hiyo wamepoteza biashara zao.
Toka uongozi huu uingie imekuwa ni mwendo wa kutumbua tu kutoa mara nyingi ajira Zach kuteuliwa.
Nchi Kama Ireland meals jana
walikataaa dili LA Euro 23b
kigezo kimoja ikiwa ni kulinda ajira za watu 6000waliokuwa wanafanya Kazi apple.
Ila sisi kwa sabab viongoz wetu wanaendekeza siasa hawana Habari na ajira za watu, sasa hivi kwa Sabab ya kipato kupungua kila siku watu wanakula redundancy. Ilianza kwenye sekta Zach chini kama mabaa na maduka makubwa sasa hivi nasikia kuna mpaka mabenk yameanza kuwapa redundancy. Mfano kuna benk moja jina kapuni linapunguza wafanyakazi wake na washataarifiwa mwisho mwezi WA saba. Hawa ni wasomi wengine wana masters na cpa Juu. Huku mtaan kuna vijana kibao ambao miaka nenda rudi hawana kazi,mtu Amua jitolea miaka miwili holaaa.
OK wanasema serikali ya viwanda mpaka sasa hata dalili ya kiwanda kuna.
Hivi kuna mjinga anaweza kuja wekeza bongo kwenye corporate tax ya 30percent badala ya kwenda ireland kwenye 12p. Hapo bado kodi mpka ya ukucha utotoa bongo.
Sasa hivi Deal kama unabiashara unaziweka rehani benk unachukua mkopo unasepa zako hata Kongo,ingawa security ndogo lakini return ni kubwa tena kwa muda mfupi.
Nina watu wangu WA Karibu kama watano mpka sasa wanalia Havana Kati na niwasomi tu WA haja,hawakuwa serikalini ila wamepitiwa na punguza. Tutashangilia sasa ila mara charity starts at home. May aliyeshindwa kuwa na uelewano mzuri na ndugu hawez kukuunganisha wewe. Sasa hao wanaona kutuharibia wenyewe watakuwa safe kuishi popote wakumbuke nyumban n nyumban
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,855
2,000
Hali inatisha wakuu..kule Tanga kuna watu walitoka Mwanza kutafuta ajira
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom