Kuna watu wagumu kunyoaa sijui wanayapendeaa nini halaf deodorant 3000 au 4000
Wadada ndio huwa mna makwapa meusi kama uchafu wa vocha...halafu mbaya zaidi mnavaa vile vikata mikono
Tena ya wadada ndio kiboko
Ya wakaka ni kiboko unaweza tapikaaa haki ya mama shahidi shetani
Waaacheni watu na style zao!!!!!!!!
Hah!!!
Hii imepitiliza
Waaacheni watu na style zao!!!!!!!!
Tena ya wanaume unakuta yamebadilika na rangi yana kutu flani hivi