Alimchagua ni mbowe si wajumbeKamanda Vincent Mashinji hongera sana kwa kuchaguliwa kuwa Katibu mkuu Chadema.niimani yangu nafasi hii imempata mtu makini ambaye atatuvusha 2020.niwapongeze wajumbe kwa kumuamini na kumchagua.wanachadema wote kwa nafasi zenu mbalimbali naomba tumpe ushirikiano.Mungu awabariki sana.
Kuna Kitu kitatokea? Kama vile wasira alivosema chadema itakufa 2012 afu badala yake chadema wakamuondoa yeyesio rahis hivyo kuna kitu kitatokea maana mbowe ameonyesha hawaamini hata hao vijana DR SLAA aliokuwa anawaanda kama warithi wake LISU, vicent nyerere, mnyika maalum , wenje soon utaanza kuona watu wakirudisha miguu nyuma taratibu