The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,616
Aiseee chalii yangu salam zimeshamfikia
Mimi nilikuwa napenda vurugu zake kwa yule jamaa wa sauti wametoa rejectAiseee chalii yangu salam zimeshamfikia
Ata wachina wakija huku wanaitwa Juma mazaramo ni kawaidaMzuqa
Wimbi la makundi ya WaSomali ulaya wanaobadilisha dini kutoka Uislam na kumfuata Yesu imewashtua viongozi wa dini na kutoa vitisho vya Kuuawa kwa kuchinjwa popote (Fatwa).
Pia viongozi hao wa dini wamewahasa wazazi Waislam ulaya wawafundishe na kutowaruhusu kabisa watoto kubadilika.
Ilibidi waite kikao cha dharura Utadhan Somalia imekumbwa na janga la kutisha kama Tsunami amatetemeko.
Video hapo chini.
Genta?Mimi nilikuwa napenda vurugu zake kwa yule jamaa wa sauti wametoa reject
Sent using Jamii Forums mobile app
Pope akawasihi Somalia waache kupigana