Makundi ya waSomali Skendinevia waliobadilisha dini na kuwa Wakristo watishiwa kuuawa (Fatwa)

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,185
13,608
Mzuqa

Wimbi la makundi ya WaSomali ulaya wanaobadilisha dini kutoka Uislam na kumfuata Yesu imewashtua viongozi wa dini na kutoa vitisho vya Kuuawa kwa kuchinjwa popote (Fatwa).

Pia viongozi hao wa dini wamewahasa wazazi Waislam ulaya wawafundishe na kutowaruhusu kabisa watoto kubadilika.

Ilibidi waite kikao cha dharura Utadhan Somalia imekumbwa na janga la kutisha kama Tsunami amatetemeko.

Video hapo chini.

Waislam wakibadili dini na kuwa wakristo wanauwawa na kutishiwa kuuwawa, wengine hufukuzwa kwao, ila wao wakristo wakienda uislam basi waislam huamka na kushangilia, yani dini zingine ni heri uwe mpangani tu.. sijawahi sikia mkiristo kabadili dini akauwawa...huu ni ubinafsi uliokithiri
 
Mzuqa

Wimbi la makundi ya WaSomali ulaya wanaobadilisha dini kutoka Uislam na kumfuata Yesu imewashtua viongozi wa dini na kutoa vitisho vya Kuuawa kwa kuchinjwa popote (Fatwa).

Pia viongozi hao wa dini wamewahasa wazazi Waislam ulaya wawafundishe na kutowaruhusu kabisa watoto kubadilika.

Ilibidi waite kikao cha dharura Utadhan Somalia imekumbwa na janga la kutisha kama Tsunami amatetemeko.

Video hapo chini.

Ata wachina wakija huku wanaitwa Juma mazaramo ni kawaida
 
Kuuwawa kwa kuchinjwa ndio adhabu stahiki kwa mtu aliyeritadi (from Islam to any religion)na ndivyo inavyofanyika katika dola za kiislam.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom