Sokulu Mkombe
Senior Member
- Oct 31, 2018
- 109
- 139
Samahani mkuu, naomba link au jina la machapisho ya hizo tafiti mbalimbali ili nifanye marejeoKwa mujibu wa tafiti na machapisho mbali mbali zifuatazo ni baadhi ya sifa za watu kulingana na kundi la damu (blood group) katika mahusiano au mapenzi.
Mwanaume ukichukiwa na hawa viumbe utaitwa majina yote ππππYule kenge Kama sio group B sijui
Hakika mkuuMwanaume ukichukiwa na hawa viumbe utaitwa majina yote ππππ
ππππMwanaume ukichukiwa na hawa viumbe utaitwa majina yote ππππ
Nimesoma machapisho mengi na kusikilza vipindi vya watafiti mbali mbali katika redio bt chapisho zuri nililolipenda ni hiliSamahani mkuu, naomba link au jina la machapisho ya hizo tafiti mbalimbali ili nifanye marejeo
ππ eti mbwaYaani yule mbwa lazima atakua B tu maana muongomuongo
Asante kiongoziNimesoma machapisho mengi na kusikilza vipindi vya watafiti mbali mbali katika redio bt chapisho zuri nililolipenda ni hili
ZIFAHAMU GROUP (MAKUNDI) YA DAMU NA TABIA ZAKE ILI UJINUSURU NA MAGONJWA YAEPUKIKAYO.
UHUSIANO KATI YA DAMU NA TABIA Je unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu? Kwa kawaida kila binadamu yuko kw...paulbiswalo.blogspot.com
ππππYule kenge Kama sio group B sijui
PamojaAsante kiongozi
Hapana mkuu mimi ninadili na makundi ya damu ππ nafukuzia kazi redcross
ππYule kenge Kama sio group B sijui