chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,367
- 27,773
MAKUNDI V/S MAFANIKIO
Mafanikio si bahati nzuri au mbaya, Bali ni matokeo ya Maisha yetu ya jana. Jinsi tulivyo leo ni matokeo ya fikra na matendo yetu ya jana.
Makundi fulani ya watu ndiyo pekee yanayopata mafanikio makubwa huku baadhi ya Makundi yakishindwa kufikia mafanikio. Hili halitokei kwa bahati mbaya.
Kuna makundi 4 kwenye mafanikio
1.[HASHTAG]#waajiriwa[/HASHTAG] /#Employed. Hili ni kundi la watu wasio na uhuru wa kiuchumi. Ni kundi linalofanya kaz kwa ajili ya kundi namba 3 na 4.
2.#Waliojiajiri#Selfemlpoyed .Ni kundi linaloundwa na wajasiriamali wadogo.Huhitaji kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kufanikiwa zaidi.
3.#Wamilikiwabiashara/#busnessowner. Ni kundi lenye uhuru wa kiuchumi /#financiafreedom. Fedha hufanya kazi kwa ajili yao na siyo kazi ili wapate fedha.
4.[HASHTAG]#Wawekezaji[/HASHTAG] /#Investors. Ni kundi bora zaidi lenye uhuru mwingi wa kiuchumi. Hutumia kundi namba 1 [HASHTAG]#waajiriwa[/HASHTAG] ili kufikia malengo yao.
*Unapoona maisha ni [HASHTAG]#magumu[/HASHTAG] suluhisho la kudumu siyo kubadili kazi ni kubadili [HASHTAG]#kundi[/HASHTAG].*