1. Team Samia: Hii imejaa wapambe wa Samia ambayo ni wanzanzibari ndani ya Serikali, IGP Wambura , Makonda na Mapolisi wengine wanaoendeleza utekaji. Hawa ndiyo Samia anawaamini. Sasa wanataka na Mwigulu naye awepo lakini Mwigulu yeye anapenda madaraka, anakula na kupuliza
2. Wana mtandao: Hawa ni wafanyabiashara kikundi hiki kinaongozwa na Rostam na Kikwete. Vilevile yupo VP Nchimbi ndiyo mtu wao na watafanya kila namna Nchimbi awe Raisi hata kama ni kumtengenezea zengwe Mama aondoke kwa njia za shinikizo au hata kifo. Kwa sasa wanajifanya wapo na Samia lakini maslahi yao yakiwa hatarini mfano kuzuiwa kusafiri familia zao au kuzuiwa kuchukuwa mikopo kwenye bank za huko Ulaya na Marekani Samia watamuondoa. Wana mtandao wa mabodi guard wa jeshi, usalama na hata madaktari wa Raisi ni watu wao hivyo wanaweza kumuondoa Samia kwa njia yoyote
3. Wapinzani wa ndani ambao ni Makamba, Ummy Mwalimu, Gwajima, na Naibu Waziri Mkuu wa zamani naye wanataka kumuingiza huko na Waziri wa zamani wa Kilimo, Bashe naye anafikiria kuingia huko. Ni vijana ambao wanajiona ndiyo viongozi wajao.
4. Wasomi ambao hawajui watakalo, wanaopenda haki: Majaliwa, Mpango, wazee wastaafu wengi na mawaziri machawa kama Kabudi ambao wengine wana njaa. Hawa wangependa kuwe na HAKI na chaguzi za kishindani lakini hawajui wafanye nini. Tatizo lao watu wa busara wakati Serikali ni ya uongo uongo na visasi. Rushwa inawaamiza sasa lakini hawa hawana meno
5. Kuna kundi la tano linasubiri Katiba Mpya waondoke CCM. Hawa ni wengi wale walio hamia kutoka CHADEMA chaguzi huru zikirudi nao watarudi tena kwa kasi. Viongozi wengi waliotoka CHADEMA hawaipendi CCM, ni madaraka tu wengi watarudi kesho kama kuna chaguzi za huru.
Ni muda tu mapinduzi ndani na nje ya CCM yanakuja TZ.
Natabiri Samia ataondolewa na wanamtandao kwa njia za siri za kiafya wakishidwa hata inawezekana kabisa wakatafuta waasi ndani ya jeshi na kufanya tukio. Nitaishia hapo. Madaktari wao wana imani watafanya kazi na hakuna ushahidi utabaki hii ni kama Mama atakataa kuondoka kumpisha Nchimbi.
Makamba amekuwa USA kwa muda akiongea na CIA na Serikali ili wamchague yeye lakini jamaa hapendeki! CIA wanapenda watu wengine kabisa mtu wao mkubwa ni Sugu lakini yuko upinzani hayupo polished kwenye elimu lakini wanatafuta mtu mwingine. Lissu naye ni mtu wao lakini wanajua ni mtu wa msimamo sana. Wanatafuta vijana wengine ambayo sio wajamaa.