GE2025 Makumbo: Vijana tulinde amani, tusifuate mkumbo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,131
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Vijana na Wanawake (TAFEYOCO), Elvis Makumbo, amewashauri vijana kulinda amani iliyopo nchini na kuepuka vishawishi vilivyopo kwenye mitandao ya kijamii, vinavyoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

“kwa hiyo wanahamasisha baadhi ya watu ikiwezekana hata kutoshiriki uchaguzi wenyewe. Lakini wengine wanaenda mbali wanasema hata siku ya uchaguzi tuandamane ili ionekane tu lile zoezi au lile jambo halijafanyika. Kwa hiyo sasa kama vijana lazima tuwe makini,” amesema Makumbo.

Amesema hayo kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Oktoba 7, 2025, alipokuwa akizungumzia kumbukuzi ya kifo cha Mwalimu Nyerere.

Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumua
 
Mtasema yote ila hiyo tarehe 29 ni ama zenu au ama zetu
 
Back
Top Bottom