Makufuli yamezagaa chumba kizama

Fuata kilichokupeleka ya watu yaache
 
Mtego unakalibia kunasa, si muda mrefu utaonja mchuzi, na yeye kuanza kupanda bajaji yako bila nauli.....
 
Acha umbea. Ukiona huna kifua usiingie vyumba vya watu!
 
Heshima ni kitu cha bure, unajua amepanga tena chumba kimoja sasa we unaingia ndani kufanya nini?
Msubirie na sio kuja kumtolea aibu zake humu.
 
Sasa ndugu yangu kuna ulazima wowote wa kuingia ndani? Unachokitafuta utakipata tu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…