Elections 2015 Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC

tatizo siyo Jk Wala El tatizo ni ujinga wa watz kuamini Kuwa bila ccm Tanzania haiwezekani.
 
Ujue kuna watu wanaelewa mambo wanatoa hoja na wanaelewa wanachokifanya. Hasa Mr Yericko hongera sana kaka. Nimeipenda hiyo

Upumbavu huu na wajinga kama wewe mpo wengi sana humu JF, ulikuwa na ulazima gani kuliquote bandiko lote refu hivi halafu unareply para 3. Hujui kama unawasumbuwa bure wanaotumia simu kuscroll down? Hovyooooooo.
 
kwakweli yerko japo kua watu wanakosoa umekop n kupest ila nakupa credit umejitahid xana I've gained somethng great frm that and to be honest congr......
 
Mbona hakuna connection kati ya gentleman agreement ya JMK na ENL na hizo hadithi za Israel na Palestine na Congo na Rwanda (Watusi)!

But for the sake of the records kitabu kitakatifu cha Wayahudi ni Torah not Bible

Aidha Henry Kissinger hajawahi kuwa katibu Mkuu wa UN, bali amewahi kuwa Secretary of State of US.
 

Mkuu Pasco lengu langu ni kukujenga kiakili japo uwezo wa kupokea mambo mapya ushakutoka,

Kwanza nikufahamishe kuwa makala za gogoro wa mashariki ya kati zipo nyingi nyingi sana, na kila mwandushi ameandika apendavyo, Juu ya hii makala ya mgogoro wa Palestina na Israel hii nimeiandika MIMI kwa mkono wangu enzi hizo nikiwa huko dunia ya kwanza,

Makala hii kwa mara ya kwanza nimeiandika 2010 nikiishi Moscow na ilipofika 2011 nikiwa Uchina ndipo kwa mara ya kwanza imewekwa kwenye mitandao ya internet kupitia wikileaks01.wordpress.com

http://wikileaks01.wordpress.com/2011/10/25/historiayavita-Israel-na-Palestina


Mwandishi wa Jarida la The Heartz mmoja ambae nilikutana huko mashariki ya mbali alivutiwa na makala hii, na wakati huo yeye alikuwa ameshasimulia kwa kirefu kupitia jarida lake na kupitia mtandao wa Wikipedia, hivyo "akaniomba" kuitumia makala yangu kuhariri makala zake. Nami nikamruhusu afanye hivyo.

Hiii hapa chini.

https://en.m.wikipedia.org/wiki/History_of_the_Israeli–Palestinian_conflict

Hivi ukisikia Wikipedia unatetemeka sana ndugu yangu,

Sasa nikusaidia, mwandishi wa wikipedia ametumia makala hii yangu kuhariri historia yake masaa manne tangu ilipowekwa mtandaoni 2011,

hebu jioneni hapa chini,

Last edited 4 hours ago by an anonymous user

History of the Israeli–Palestinian conflict

The history of the Israeli–Palestinian conflict started in the late 19th century and early 20th century. The end of the 19th century and the beginning of the 20th century are marked by the birth of two major nationalist movements among the Jews and among the Arabs, both geared towards attaining sovereignty for their people in the Middle East.

This conflict came from the intercommunal violence in Mandatory Palestine between Jews and Arabs from 1920 and erupted into full-scale hostilities in the 1947–48 civil war. The conflict continues to the present day on various levels.

Contents

Historic overview

19th century to 1920

Fileaily Life in Southern Israel under rocket fire.wmv.


Read in another language

Wikipedia ®
Mobile-
Desktop

Content is available under CC BY-SA 3.0 unless otherwise noted.
Terms of Use
Privacy
 
Ila we jamaa unaandika.. duh!!

sio anaandika vitu vingine anacopy & pest ingawa ni vizuri sana ila anatakiwa aweke source ya mahali alipotoa aya materials vinginevyo huo ni uwizi km wizi mwingine...xo next time mkuu yeriko uweke source ya materials yk unayotupa...ingawa unafanya kazi nzur sana mambo mengi tunayajua kupitia nyuzi zako big up.....
 

Sijawai choka kukusoma Yericko nakukubali naninakuelewa sana ninadra kupata madini haya hongera sana
 
Wenye uelewa mdogo hawawezi kuelewa alichoandika Yericko Nyerere JK na Lowasa lazima watambua ni nchi siyo kuachiana kijiti kama walivyokuwa wamepanga.Hata ccm wangemleta Obama kugombea uraisi kupitia ccm bado ccm ingeshindwa kama inavyokwenda kuondoka madarakani mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…