ila huwezi jua mana kuna wengine ni magenius kweli
Karibu mkuu nilikumiss je!!!Ila huwezi jua mana kuna wengine ni magenius kweli
Hao lzm watakuwa wanaingia na madesa kwenye mitihani!!!Juzi nilikuwa katika pub na kulikuwa na wanafunzi (Nahisi wa chuo) wanne (4) wa kike wakijipongeza. Mmoja wao inaonekana kilaji kilikuwa kimepanda kichwani akaanza kujisifu mbele ya wenzake kuwa yeye hata iweje atafaulu tu.....
"sijasoma kwa kujiumiza kama ninyi, mimi maksi zangu nimezipatia bar, sijahonga wala nini kwa walimu lakini mitihani yote nimepata na pesa pia nimepata"
dah nilienda safari moja huko mbali,sikuwa na simu ya mana wala computer,dah mbona kuingia internet nilikuwa nahesabu dakikaakiongeza funda moja tu atasema alivyompa penz lecturer ili afaulu
nje ya mada where have you been?
mwenye ubunifu na mara nyingi ni ngumu kupoteza kumbukumbu kwenye akili yakeNini maana ya Genius? Ni kama akina Newton?
Mi niko salama mkuu,ila nilikumiss sana,dah nilikutana na mzee mmoja hivi nikajisema lazima atakuwa babu yako Mtambuzi,yaani points zake humu na jinsi anavyoongea kuna uhusiano,ila nilisita kumwuliza mana na yeye angeniuliza.Karibu mkuu nilikumiss je!!!
Uliadimika sana usalama upo?
Nashukuru km uko poa,Mi niko salama mkuu,ila nilikumiss sana,dah nilikutana na mzee mmoja hivi nikajisema lazima atakuwa babu yako Mtambuzi,yaani points zake humu na jinsi anavyoongea kuna uhusiano,ila nilisita kumwuliza mana na yeye angeniuliza.
nashukuru sana,Nashukuru km uko poa,
Hahahah,ungemuuliza tu then akikuliza unamwabia ww ni msomaji wa jf na sio memba!!!
Well come back bana.
dah nilienda safari moja huko mbali,sikuwa na simu ya mana wala computer,dah mbona kuingia internet nilikuwa nahesabu dakika