edwin89 Member Apr 12, 2016 92 97 Mar 5, 2024 #1 Kreti za serengeti zipo 100 zinauzwa na chupa zake. Kwa wanaofungua stoo ya bia za jumla. Elfu 10,000 kwa kreti moja.karibu sana.
Kreti za serengeti zipo 100 zinauzwa na chupa zake. Kwa wanaofungua stoo ya bia za jumla. Elfu 10,000 kwa kreti moja.karibu sana.
Half american JF-Expert Member Sep 21, 2018 26,963 70,323 Mar 6, 2024 #4 Unauza kwa jumla zote au hata pungufu chini ya mia?
edwin89 Member Apr 12, 2016 92 97 Mar 6, 2024 Thread starter #5 Half american said: Unauza kwa jumla zote au hata pungufu chini ya mia? Click to expand... Hata pungufu, kama unaweza kuja kuchukua 20,10,30, uwezo wako tu
Half american said: Unauza kwa jumla zote au hata pungufu chini ya mia? Click to expand... Hata pungufu, kama unaweza kuja kuchukua 20,10,30, uwezo wako tu
Half american JF-Expert Member Sep 21, 2018 26,963 70,323 Mar 6, 2024 #6 edwin89 said: Hata pungufu, kama unaweza kuja kuchukua 20,10,30, uwezo wako tu Click to expand... kuna maongezi ya bei au hiyo ndio fixed, zile za Lite zipo pia?
edwin89 said: Hata pungufu, kama unaweza kuja kuchukua 20,10,30, uwezo wako tu Click to expand... kuna maongezi ya bei au hiyo ndio fixed, zile za Lite zipo pia?
edwin89 Member Apr 12, 2016 92 97 Mar 6, 2024 Thread starter #7 Half american said: kuna maongezi ya bei au hiyo ndio fixed, zile za Lite zipo pia? Click to expand... Inategemea sasa kama unachukua zote au. Sina za TBL ni Kampuni ya SBL . Serengeti lite, serengeti lager, plisner. Ndo hizo
Half american said: kuna maongezi ya bei au hiyo ndio fixed, zile za Lite zipo pia? Click to expand... Inategemea sasa kama unachukua zote au. Sina za TBL ni Kampuni ya SBL . Serengeti lite, serengeti lager, plisner. Ndo hizo
Excel JF-Expert Member Jul 8, 2011 19,807 10,186 Mar 6, 2024 #8 edwin89 said: Kreti za serengeti zipo 100 zinauzwa na chupa zake. Kwa wanaofungua stoo ya bia za jumla. Elfu 10,000 kwa kreti moja.karibu sana.View attachment 2925583 Click to expand... nipo dalali hapa nikutafutie wateja. kwenye kila kreti moja nakula buku. 0744 033 555
edwin89 said: Kreti za serengeti zipo 100 zinauzwa na chupa zake. Kwa wanaofungua stoo ya bia za jumla. Elfu 10,000 kwa kreti moja.karibu sana.View attachment 2925583 Click to expand... nipo dalali hapa nikutafutie wateja. kwenye kila kreti moja nakula buku. 0744 033 555