Makosa ya ngono Tanzania!

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
1,749
Reaction score
1,312
Baadhi ya makosa hayo, ambayo watu wengi sana hapa duniani wanafanya hata leo hii, ni baba fanya ngono na binti yake, ngono kati ya mama na mtoto wakiume, ngono na dada yako, ngono na babu yako, ngono na bibi yako, ngono na mjomba wako, ngono na shangazi yako, ngono na ndugu yako yeyote wa damu....

pia usisahau ngono na wanyama....

makosa haya yote yapo kwenye penal code. kuna kitabu kimoja cha sheria kwa kiswahili, kimeandika pamoja na mambo mengine mengi ikijumuisha sheria za ndoa na mirathi, mambo ya ngono za ndugu na za wanyama. bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI

View attachment 105054



View attachment 105055View attachment 105055
 
nasikia huko mbeya, mtu kafungwa miaka 30 kwa kosa la kufanya mapenzi na binti yake hadi kumzalisha mtoto. dunia inaenda wapi jamani,

ajabu yake ni kwamba, kumbe mama na baba walikuwa wameachana, binti akakua akiwa anakaa na baba tu bila mama....madhara ya kuachana ndo haya.
 

sawa mkuu
 
Huo ni uchizi ulioje....hata dini zimekataza maana hata sijui mtu inaanza ukawa na mahusiano na ndugu yako wa damu.
 

sioni sababu ya yeye kufungwa sasa nani atakae mlea mtoto mitz huwa inafanya maamuzi halafu ndio inaanza kufikiria damn muacheni ndio alivoamua yeye kuwa hivyo..
 

kwa hiyo na nuhu aliwarape watoto wake hii ni kwenye biblia mkuu? hapo inapaswa tujue je walikubaliana au alilazimishwa hadi kupta mimba sio tunawafunga tu.. kama watu wanaruhusu kuoa binamu wakati ni ndugu zao halafu sio kosa ila baba kula mtotowe kosa embu pitieni vizuri hii sheria yenu mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…