Makosa ya Gwajima mahakamani

Sasa shahidi atakuja mahakamani au ndio huyo Abubakar ? Aibu!!! Kova tafuta jimbo ccm wakupe nafasi!!
 

OK, hivyo Mwadhama ni kama mheshimiwa
 
Hii kesi ya kitoto kabisa...swahiba wa chenge, kova amejidharilisha

Jamaa ana mkwanja, sasa waliona kuwa Lowassa ana mkwanja na ni rafiki yake, Slaa pia ni rafiki yake, wakiunganisha nguvu bonge la colabo
 
Kuuliza si ujinga.
Ni nani mwenye mamlaka ya kumteua mtu awe askofu?

 

Ebu tusaidie wewe ni makosa yapi yapo kwenye hati ya mashitaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…