Makosa ya Edward Lowassa ni yapi ndani ya CCM?

Ni vigumu kukuelewesha kuhusu majungu yao maana wewe upeo wako kama wa konokono,kama kweli unauliza ni majungu gani kama vile hufuatilii siasa za tanzania basi kazi ipo kubwa kukuelimisha,anyway kafute ujinga ukirudi utajua tu.
Mkuu;
Ninauliza ili nipewe jibu.

Hii ya kusema ubongo wangu ni kama wa konokono haiwezi kulifuta swali langu.

Nionyeshe sehemu ambayo inatoa huduma ya kufuta ujinga ili nihudhurie darasa la kufuta ujinga!
 
Makosa ya Lowasa ni juu ya wananchi siyo ccm. yeye na ccm yake mwaka 2007/2008 walii ngiza nchi gizani mwaka mzima hatuna umeme.wakafanya biashara zao wanazozijuwa.hatuwataki tena watu hawa nchini kwetu.walizokula zinatosha.

walisha sahau hili,cheza na akili za watanzania bora mbayuwayu ana unafuu.
 

watu kusoma hawajui hata picha hawaoni kwa makonda baada ya kumponda jamaa live kapewa ukuu wa wilaya,au wanadhani aliye mchagua makonda ni mangura.JK HAYUPO UPANDE WA E.L KWA SASA.
 
Asante sana kwa upembuzi yakinifu,ni kawaida ya ccm kupakana matope,walisema Dr Salim ni hizbu,ni mngazija,je wakati Mwl JKN anampa madaraka ya kiuongozi hakujua ya kuwa huyu si mzawa?inakera sana,kila siku ni EL tu,mbona hawamsemi 6 wakati juzi tu kachakachua katiba pendekezwa?mbona akina Wassira walishajiunga NCCR? na kuna kipengele kinachokataza mtanagaza nia kama alishahama chama lakini hawasemi?Kila siku hadithi za kufikirika.
 

watu muone huu uchambuzi,big up
 
He is not a serious contender but he just wants to use his late father fortune and fame. I don't think he has something new to offer.

kwani kikwete ka offer nini,mpe mtu nafasi ndo umu tathimini.ingawa si sapoti mwana ccm yoyote hata angetoka mbinguni.i need change
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…