OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
unapozungumzia ufisadi wa lowassa unatakiwa uweke bayana ni shilingi ambazo amechukua na ushaidi wake na ukumbuke kamati ya mwakyembe hajawai kuweka ushahidi wowote zaidi ya kutumika kisiasa tu
akamalizane na picha zake za gesti....halafu akalipe na bill za kwenye magrocery...halafu bado kesi za malezi ya watoto wake wa nje zitafunguliwa kwa kasi ya umeme punde si punde
Mkuu;Lowassa ndo Rais wetu ajaye, period
kwa hiyo usipompigia kura na akashinda ndio hatakuwa raisMkuu;
Ungeleweka kama ungesema Lowassa ni Rais wako.
Kuwaweka wananchi wote katika mwanvuli wa fikra zako ni kupotoka!
Inawezekana ufisadi ukawa ni kosa kwa wananchi wengine lakini siyo wanaCCM.Kosa lake ni kuwa fisadi na kutetea mafisadi wenzie.ebu ona cheni iliyoko nyuma yake,chenge rostam na karamagi hakika tutauzwa tukiwa wazima.say no to lowasa
Makongoro for President.. Over
lowasa jambazi na muundaji wa mitandao ya ujambazi chenge,rostam,tibaijuka
LizaboniLowassa ndo Rais wetu ajaye, period
Huyu bwana mkubwa ana lipi la ziada ukiacha hili la mtoto wa baba wa Taifa.
siasa chafu kwa makongoro