Makosa ya Desemba 9 (liberation day )

Walipanga Maandamano tarehe ya hovyo sana.

Kuwakomesha hawa washeni ni kuweka sikukuu za kidini.
Kama Chistmars.
Mwaka mpya.
Pasaka.
Idi nk.

Wameipa selikali ushindi wa Bure ka
 

Sasa utakuta fa.la na ndevu zake anamshangilia huyu malaya mchafu eti ampe ukombozi??

Huyu malaya tuh toka lini akajua harakati za ukombozi wa nchi
 

Serikali ipate hasara kwa kulipa watumishi wake posho na overtime??

Kwa taarifa yako wenzako askari wanatamani hata kila siku mlete fujo zenu ili wao waendelee kuokota
 
kubomoa ni njia bora ya kujenga najua hii inawaumiza sana nyinyi haina faida kwenu ila kuanza upya sio ujinga heri kubomoa na kujenga upya
Sasa kama kubomoa ni kujenga upya, ngoja tujenge.
vituo vya mwendokas ni vya wote lakin mmejimilikisha kua ni vyenu hata mabango ya kampen mmeruhusiwa nyinyi tu mmvichafue wengine haqaruhusiw kubandika
Kwanza usiniingize kwenye siasa, hainihusu. Hapa tunazungumzia maandamano na matokeo yake. Ikitokea ni kweli waliopachika mabango wameharibu, jee waliofanya uharibifu wa kuyaunguza mabasi na kuiba?
haya ni moja ya mambo yanayotia hasira wananch na kuamua kubomoa kile mnachohis ni chenu il kijwenge upya kiwe chetu sote
Wanaposema ni chetu ni kwa maana ya wananchi ikitokea nawe ni Mtanzania! Wala hawajasema ni chao kwa maana ya kumiliki binafsi. Hili ulitambue.
hiyo kuchoma choma unayiponda wewe itakuja kukusaidia wew mwenyewe maana serikal yako dhalimu imetenga wizara maalumu ya vijana
Ndio ninavyoombea. Huenda haitokusaidia wewe ambaye si Mtanzania, utakuwa kwenu wakati huo.
serikal yako dhalimu imetenga wizara maalumu ya vijana imetenga bilion 200 kwa vijana na inawabembeleza vijana wakae wasikilizwe tofaut na maandamano ya mo 29
Ni habari njema kwamba vijana wamepata akili ya kutumia ustaarabu. Hii iwe ni funzo kwa siku za mbele.
 
Lengo pekee la maandamano ya d9 lililo takiwa kuwepo ni kuxuia shughuli za uchumi mengine yote yangekuwa magumu .....
Kanuni mtatu za maandamano yenye nguvu ni hizi
1)yafanyike siku za kazi za kawaida yaani zrnye high movement.
2)yaanzie katikati ya jiji iwe niyo meeting and starting point.
3)na mengine ya anzie nje ya miji kuelekea katikati hivyo kutengeneza trap...

Sasa mnaweza kuuliza tutafanyeje ili serikali isiweke lockdown hiyo siku mapema ....hapa ni kutumia njia ya three day attack yaani mnaamrisha waandamanaji kwenda mjini kama watu wa kawaida kwa wingi usio wa kawaida na kurudi kama watu wa kawaida ...moja ya hizo siku 3 ambazo mtakwenda mjini watu wengi ndiyo itakuwa siku ya maandamano ...hapo serikali hata ikijua tarehe inakuwa haiwezi kuwajua waandamanaji na tarehe rasmi kati ya hizo 3 hivyo kushindwa kuzuia watu kwa siku zote 3
 
Watu gani wakiamua?? Yaani una pumbu mbili lakini unashikiwa akili na haka kamalaya:-
Rudisha makende kwa wanaume
 
Watanganyika wameshtuka!!!
Watu wanalipwa mabilioni kukaa nyuma ya keyboard kuhamasisha vurugu, watoto wa masikini wanaishia kuuwawa kizembe.

Maria na wahuni wenzake watafute namna ya kurudisha mabilioni ya watu, vijana wa Kitanganyika hatuwezi kudanganyika tena kifala.
 
Watu gani wakiamua?? Yaani una pumbu mbili lakini unashikiwa akili na haka kamalaya:-
View attachment 3513860 Rudisha makende kwa wanaume
Nan ashikiliwe akili nimeandamana kwa kutekwa kwa wiz wa fedha za uma nimeandamana kwa tume isiyokua huru sio kushikwa akil na yoyote
 
Kama wewe unavyo msikiliza Mchepuko wa JK aliyepo jumba jeupe.
 
Nan ashikiliwe akili nimeandamana kwa kutekwa kwa wiz wa fedha za uma nimeandamana kwa tume isiyokua huru sio kushikwa akil na yoyote
Uliandamana au ulikwenda kuiba maduka ya watu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…