Makosa ya Desemba 9 (liberation day )

Wwe unadhani njia ya kuwatoa wahuni wa CCM ni ipi?
 
Kwa uliyo yaandika basi mna vogezo vyote vya kutambuliwa kama genge la kigaidi, maana hata akina boko haramu walianza hivi hivi na mpaka sasa wanafanya uovu nyuma ya kichaka cha kutafuta haki.
 
Walipanga Maandamano tarehe ya hovyo sana.

Kuwakomesha hawa washeni ni kuweka sikukuu za kidini.
Kama Chistmars.
Mwaka mpya.
Pasaka.
Idi nk.

Wameipa selikali ushindi wa Bure kabisa
Hiyo mpango mgumu kwa polis sababu hawawez kuzuia watu wasitoke siku ya siku kuu
Vyombo vya dola vinashukuru na kuheshimu busara za unaowaita wapumbavu siku watu wakiamua hakuna wa kuzuia mnalinda barabran watu wanavamia na kuua familia yako usishindane na nguvu ya uma iheshimu ndio maana matamsh ya ubabe hayapo kabisa wakat huu m029 imeleta heshima husikii tena nyodo na dharau za ccm
 
Kwa uliyo yaandika basi mna vogezo vyote vya kutambuliwa kama genge la kigaidi, maana hata akina boko haramu walianza hivi hivi na mpaka sasa wanafanya uovu nyuma ya kichaka cha kutafuta haki.
Ndio tunapoelekea na mwalimu wa ugaid ni ccm maana wamefunga watu midomo wamebana uhalal wa sanduku la kura watu watakua hawana kingine zaid ya kujilipi ukosefu wa haki huzaa ugaidi
 
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
Hicho ndio kichaka cha kujifichia watawala pind mambo yanapotaka kuharibika mnatangaza aman ili mtuibie vizur wizi asilimia 80 maendeleo asilimia 20
 
Haya Tukafanye kazi sasa.
Pambano tumepoteza, Tusipoteze na hela/Muda sasa 😌
Hakuna pambano lilipotezwa serikal ndio imepata hasara mara ya pili unafikir askar wote wale walilipwa posho sh ngap kuanzia tarehe 1 mpaka 9 na bado wapo na mapato kias gan imekosa mpasuko uko kias gan ndan ya serikal watu hawajapoteza ila mchakato unaendelea uhuru wa tz ulipiganiwa tangu 1930 mpaka 61 miaka zaid ya 30 huu ni mwanzo
 
Hapa Tanga nakumbuka kama mwaka ,2010 au 2011 , waislamu tulitaka kuandamana ; jamaa walikataa kabisa .

Tukaingia road, jamaa wakaja na gari yao .Kuna mmoja alikuwa na spika ikawa anasema '' waislamu maandamano haya sio ramsi mtaleta vurugu '' wazee tumekaza shingo tu.

Baada ya nusu saa walijaa ,ikapiga ambush moja kila mtu kwak🤣🤣tulilazwaa saa 11 na watu walivunjika miguu na kupoteza vitu..Watu walikimbia Tangamano huko ,kichapo kilikuwa kizito.

Mpake leo hata maulidi (zafa) lazima tuwaombe kibali na watu wana adabu...Msicheze na serikali mtakuja kunya bure
 
Kijana unajisumbua ,serikali ni watu na zile pesa ni za wananchi 🤣🤣Rais kajilipa na wazri kwenda kutembelea jana na leo kalipwa ...Aliyepata hasara hapo ni nan? Wewe mwananchi ni serikali ,wale viongozi ni waajiriwa na wana muda wa kuondoka pale sio kwao milele 🤣🤣🤣
 
Vizur sanaa iko hivi kuna namna nying ya kuonesha ukubwa wa hasira yako ili kuonesha uhitaj wa kile unachoitaji wakaz wa kimara walibomoa mwendokas sababu serikal haipelek mabus kesho yake mabus yakaenda wasingechoma yasingeenda maana washalalamika sanaa

Vilivyochoma ni ofis za serikal na ccm kuonesha hawatakiw na wananch kwa yale wanayoyafanya utekaj na nk

Vituo vya mafuta ambavyo vililengwa na wana ccm na mafisad wote vile visivyohusika viliachwa hii yote ilitokana na dharau za ccm kwa wananch wake.
So hata wewe unapogombana na mkeo ukatupa glas chin au kupiga ngumi ukuta mkeo ataona ukubwa wa kule unachokitaka au kupinga hasira inaonesha kwa vitendo vilivyochomwa ni mali ya wananch vitajengwa na pesa za wananch
 
HAsara ya kuingiza kipato hasara ya kushindishwa juani siku nzima
 
HAsara ya kuingiza kipato hasara ya kushindishwa juani siku nzima
Ile ni kazi zao za kila siku ,miaka mingi wanarelax tulie
..Watu wamekula overime za kutosha na wenzio wanaendlea kulipwa mwezi mzima posho ya kila siku kama extra duty..Wajinga ndio waliwao.
 
Ndio maana ninawahoji wanatangaza eti waandamani walidhuriwa MO29. Nawauliza MO29 kulikuwa na maandamano?
Maandamano yalikuepo yakaharibiwa na polis baada ya kuua watu
 
Ndio tunapoelekea na mwalimu wa ugaid ni ccm maana wamefunga watu midomo wamebana uhalal wa sanduku la kura watu watakua hawana kingine zaid ya kujilipi ukosefu wa haki huzaa ugaidi
Ndo maana mnatakiwa kudhibitiwa kwa mkono wachuma na sio kuwaendekeza kama serikali ilivyo waendekeza boko haramu ambayo iligeuka kuwa jinamizi kwa nchi.

Maana nyinyi mkiendekezwa mtaanza kubaka mpaka watoto mabarabarani kwa kisingizio cha kudai haki.
 
Mimi siyo muumini kabisa wa maandamano ya amani kabisa .
Tuwe na ajenda ofisi zote za serikali isipokuwa shule na HOSPITALI tu nyingi zote zichomwe moto
 
ki ukweli MO29 ilitisha sana, haya ya amani ni kongamano, hakuna lolote

Jana , tumethibitisha kuwa vijana wa Tanzania ni nguzo ya mshikamano, tumetii sheria, tumedumisha utulivu, na tumeonesha uzalendo wa kweli kwa taifa letu. Tuendelee kuwa mfano wa kuigwa, tukilinda amani yetu na kuimarisha umoja uliotuleta hapa. Kumbuka, vijana ndio mashine ya maendeleo ya nchi, tuzidi kusimama pamoja kwa upendo, hekima na ujenzi wa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI AFRIKA. #TANZANIA #AFRIKA #AMANI
 
Unazungumza kesho yake mabasi yakaenda? Yakaenda wakati miundombinu imeharibiwa? Ndo maana nikakuambia usisahau ulichoandika awali, na hii inahitaji akili kubwa.
Vilivyochoma ni ofis za serikal na ccm kuonesha hawatakiw na wananch kwa yale wanayoyafanya utekaj na nk
Umesahau kwamba mali ya serikali ndo inayowafaa watu wote (umma). Ni uhayawani kuchoma nyumba ambayo wewe unaishi kwasababu tu kuna mtu kakukera!
Vituo vya mafuta ambavyo vililengwa na wana ccm na mafisad wote vile visivyohusika viliachwa hii yote ilitokana na dharau za ccm kwa wananch wake
Baada ya kuvichoma vituo vya mafuta wananchi wakakosa usafiri. Kutoka mjini kuenda Kimara ikawa kati ya sh. 20,000 na 10,000. Nani kaumia?
vilivyochomwa ni mali ya wananch vitajengwa na pesa za wananch
Sasa tusubiri na pesa ya wananchi.
 
Sina njia bado natafakari sitaki kukurupuka
Wahuni wanaelewa njia moja tu ambayo ni uhuni.
Nyerere alifanikiwa kwakuwa wakoloni hawakuwa wahuni.

Njia pekee ni kumobilize wananchi wote kuingia barabaran kuwakataa CCM nonstop mpaka jambo litakapotimia.
 
Lugha pekee wanayoielewa ccm ni Ile iliyotumika 29Oct.
 
Ili kubomoa ni njia bora ya kujenga najua hii inawaumiza sana nyinyi haina faida kwenu ila kuanza upya sio ujinga heri kubomoa na kujenga upya maana vituo vya mwendokas ni vya wote lakin mmejimilikisha kua ni vyenu hata mabango ya kampen mmeruhusiwa nyinyi tu mmvichafue wengine haqaruhusiw kubandika haya ni moja ya mambo yanayotia hasira wananch na kuamua kubomoa kile mnachohis ni chenu il kijwenge upya kiwe chetu sote suala la nauli sijui blah blah gan hiyo ni njia ya kufikia mafanikio hata kipimd cha vita ya kagera maisha yalikua magumu lakin ilikua njia ya kuilinda kagera hiyo kuchoma choma unayiponda wewe itakuja kukusaidia wew mwenyewe maana serikal yako dhalimu imetenga wizara maalumu ya vijana imetenga bilion 200 kwa vijana na inawabembeleza vijana wakae wasikilizwe tofaut na maandamano ya mo 29 so faida itakua ya wote japo waaandamanaji wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…