Kuna mambo km ya kuvaa boxer bila kufua na soksi chafu..haioneshi uaanaume..wakati mwingine inaonesha malezo mabovu na background za mbovu km umaskin, uswazi nkMen will always be MEN! Ukiona uko na dume la mbegu na ITIFAKI HAIZINGATIWI stuka mapemaaa atakuwa mfuasi wa CAMEROON si bure unles kama ushamtengeneza kwa mambo yetu yaleee ya kuchekea kwenye kinu.
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
Hii ni kweli kwani huwa nna haraka wakati wote.
4-Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
Hii ni kweli kama ikitokea nimekutana na kimada nikiwa na mtoto ila sijaona kosa kama lipo au tunatakiwa tikiulizwa tinyamaze
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa
taarifa.
Huwa ikitokea tumekutana ghafla nikapata nafasi ya kupita maskani kama kipo tunatupiamo
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike
kuwa anavutia bila hofu.
Kama mzigo upo safi mi narusha marks kwani ukweli huniweka huru daima,
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali
atajisikiaje.
Kama ilivyo hapo juu namba 6 (ukwei ni ukwei tu haufichiki)
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Mimi sijawahi kusomea urefa wa mavazi kwani ni fani kama fani zingine angalia hata lile Lisalama Jabiri linavyochemka kwenye kutoa maamuzi.
10- Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege.
Taaluma yangu ya uhandisi imenifanya ni-behave hivyo kwani imejengeka ndani yangu.
Men will always be MEN! Ukiona uko na dume la mbegu na ITIFAKI HAIZINGATIWI stuka mapemaaa atakuwa mfuasi wa CAMEROON si bure unles kama ushamtengeneza kwa mambo yetu yaleee ya kuchekea kwenye kinu.
15. Kupenda kufuatilia mpira mpaka baa usiku.
Men will always be MEN! Ukiona uko na dume la mbegu na ITIFAKI HAIZINGATIWI stuka mapemaaa atakuwa mfuasi wa CAMEROON si bure unles kama ushamtengeneza kwa mambo yetu yaleee ya kuchekea kwenye kinu.
1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa
taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike
kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali
atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
9- Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
10- Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
11-Kutofua boxer na socks zake hadi wife
awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
kama wapo wanaume wenye hizi tabia basi kazi ipo manake nyingi hapo ni ngeni kwangu japo niko kwenye ndoa muda mrefu tuu
1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati
kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa
taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike
kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali
atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
9- Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
10- Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
11-Kutofua boxer na socks zake hadi wife
awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
#2 inanikera sana tu, wadada nao wamekuwa wachafu tu hamna lolote.
#3 nilidhani ipo zaidi kwa wadada, akitafuta nguo ya kuendea fuction/party utachoka, hadi unakereka..kabati litaparaganywa, nguo zote kwa kitanda..mara ajaribu ile, avue na kuvaa nyingine...agrrrr.
#9 ndio usiseme, hata hamjui order ya vyumba nyie, mwajua kuosha kucha na kuzipaka rangi, siku hizi na nyie mwafunga taulo hadi twajiuliza hivi ile ni nyeupe ama kahawia...
Siku hizi wala ME na KE hazina tofauti sana katika swala la usafi wa mwili na mazingira...