muqawama
Member
- Jun 21, 2010
- 41
- 183
1) Kuungana mkono Watawala wa Kifalme wa falme za kiarabu waliokuja kufadhili Mapinduzi ya Serikali yake.
2) Kukubali kuanzisha Ushirikiano na Amerika, Shetani aliyekuja kuvuruga Serikali yake.
3) Kukubali kutambua Mkataba wa Camp David wa Kuilinda Taifa Haramu la Israel na Kuwasahau Wananchi wenye kudhulumiwa wa Palestina.
4) Kubweteka na Uraisi akidhania Mapinduzi huishi Kuhodhi Madaraka wakati Mifumo yote ya Dola ilikuwa ni Kitwaghuti yenye kutumikia Maslahi ya Magharibi.
5) Kukubali Shinikizo la Marekani na Israel kuvunja mahusiano na Iran na Syria. Akidhania Watamlinda na serikali yake.
6) Kuvaa joho la Uliberali na kuogopa Kutangaza Dola ya Kiislamu ili kutaka Kumridhisha Mazayuni na Amerika.
7) kubadili Malengo ya Mapinduzi, ya kupamba na Uingiliaji wa masuala ya ndani ya Misri wa Marekani na Israel na kupinga Dhulma na Ukoloni Mambo leo. Na badala yake akabadilika kuwa Rafiki wa Wakoloni na kuwapa Uwanja lifanya walitakalo katik Ardhi ya Misri.