Makosa niliyoyafanya katika kupenda

Makosa niliyoyafanya katika kupenda

Wizvee

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
106
Reaction score
44

~Kukutana nawewe

~Nikaanza kukupenda

~Kuwa nawewe katika maisha yangu

~Kukuamini na nikakupenda sana zaidi ya unavyostahili

~Nililia kwaajili yako pindi uliponiacha bila saababu

Najuta
 
Kupendwa na kupenda, Kuachwa na kuacha vyoote uwezi kukwepa kwenye mausiano. Mnapo anzana akuna kipimo cha kuangalia uaminifu zaidi ya matendo na muda.

Yashatokea ayo. Yapokee songa mbele, maisha yaendelee. Acha kujuta, akua wako ndo maana kaondoka.
 
Polee ndio ukubwa huo experience kama hizo lazima ukutane nazo
 
Ukijua kupendwa ujue na kukataliwa na pia siku zote kupotea njia ndo kujua njia usisahau kisicho riziki hakiliki
 
Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu,sio kupenda.
 
"Child, child, have patience and belief, for life is many days, and each present hour will pass away. Son, son, you have been mad and drunken, furious and wild, filled with hatred and despair, and all the dark confusions of the soul - but so have we. "


Don't ask me nlipoyatoa hayo maneno, coz mwenyewe i didn't ask you to suck it up.!
 
Sasa hapo wewe unajuta nini? Kwani hayo yote uliyafanya at gun point au kwa sababu ya ugeni wako hapa mjini? Ndiyo maana mnageuzwa ATM kirahisi. Siku ukikutana na mwingine tutafute wazoefu tukupe ramani kabla hujalia tena. Mjini hapa bana
 

~Kukutana nawewe

~Nikaanza kukupenda

~Kuwa nawewe katika maisha yangu

~Kukuamini na nikakupenda sana zaidi ya unavyostahili

~Nililia kwaajili yako pindi uliponiacha bila saababu

Najuta

achaa uniaje asee....kwanza futa kauli ya kuachwa nakulia,kuwa na roho ya chuma.mwanamke apendi mwanaume anae mlilia lilia anataka strong man.mwanaume ambae anaweza kuachwa na kuondoka bila kulia lia,pili unamuaminije mtu?hasa mwanamke ulikosea sana,afu unampendaje mtu asilimia kubwa hivyo mzeyaa...acha ulofa.KAMA DEMU AKUTAKE ACHANA NAE TAFTA MWINGINE PUNGUZA MACHUNGU
 
Presha inapanda Mara presha inashuka daaaaaaaaaaaaaaaa aisee polee jembe languu
 
pole, ni kweli upo katika wakati mgumu.. usijutie nafsi yako na kujilaum bali mshukuru mungu kwa kila jambo, uambie moyo wako kuwa tayari imeshatokea. Angalia wapi ulikosea tangu siku ya kwanza umekutana nae mpaka leo hii mmeachana, Makosa hayo sasa yasifanyike tena katika uhusiano ujao. Si wewe pekee umekutwa na hili wengi yanawakuta tena makubwa zaidi. Usijute mkuu, tunajifunza kutokana na makosa.
 
Kupendwa na kupenda, Kuachwa na kuacha vyoote uwezi kukwepa kwenye mausiano. Mnapo anzana akuna kipimo cha kuangalia uaminifu zaidi ya matendo na muda.

Yashatokea ayo. Yapokee songa mbele, maisha yaendelee. Acha kujuta, akua wako ndo maana kaondoka.
Ajipe mda ili maisha yasonge mbele
 
Muda huwa ni tiba nzuri kwa majeraha ya mapenzi.
 
Back
Top Bottom