Raymond Chanzi
Member
- Oct 18, 2015
- 12
- 3
Mako's Lodge iliyopo maeneo ya Airport Karakata( DSM) inauhitataji Wa vijana Wa kazi za uhudumu Wa Lodge. Elimu ya mwombaji isiwe Chini ya kidato cha nne. Kazi za Lodge ni kama zifuatazo;
-Usafi in general nnje na Ndani ya Lodge
-Ufuaji Mashuka na taulo za wateja pamoja na kuzipanga sehemu husika zitakapo kauka.
-Kupokea,kunakili na kukabidhi Funguo kwa wateja Wa vyumba.
-Kufanya hesabu Wa report za mwisho Wa mwezi.
MSHAHARA NI; 100,000/= na utapanda kadri ya ufanisi Wa kazi ya mtu anavyofanya.
MAWASILIANO: 0715672082