Makoroboi yatosha kwa Wamachinga Mwanza

Makoroboi yatosha kwa Wamachinga Mwanza

Joined
Oct 15, 2016
Posts
56
Reaction score
49
Kufuatia agizo la mh rais la kuwataka mamachinga waendelee kuwepo katikati ya jiji la mwanza mpaka pale watakapotengewa maeneo mazuri kibiashara na serikali ya jiji,binafsi ninaamini na kwa utafti mdogo nilioufanya katika jiji la mwanza eneo pekee zuri kwa machinga na lililopo katikati ya jiji ni MAKOROBOI! Eneo hili sehem ya katikati ambao kuna majabari ya mawe makubwa kama pakiwekewa mipango mizuri panaweza kuwa ni suluhisho

Eneo hili likijengwa MACHINGA COMPLEX kama ya Dar natumai tatizo la wamachinga katika jiji la mwanza litakua limetatuliwa kwa kiasi kikubwa sana
 
Back
Top Bottom