Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Nguvu kubwa iliyotumuka jana kuwakamata hawa Six telcom waliokwepa kodi na kuisababishia serikali hasara kubwa sikuziona kwenye makontena.
Pamoja na kwamba list yote ya waliokwepa kodi kwa kupitisha mokontena bila ushuru alikuwa nayo Waziri mkuu lakini hatukuona wakitiwa nguvuni na kushitakiwa zaidi ya kupewa mda wa kulipa kodi iliyotakiwa.
Serikali iondoe double standards, Wawekezaji wataikimbia.
Na inshu ya Six telecom wabunge wamepiga kelele juu ya mtambo wa kukontrol matumizi ya simu na internet lakini imeziba masikio na kutoza kodi kwa makadilio.

Last edited by a moderator: