Lengeri Senior Member Joined Jul 3, 2009 Posts 180 Reaction score 18 Jul 17, 2015 #1 Mtoto wa hayati Mwalimu Nyerere, Makongoro baada ya kubwagwa vibaya kwenye mbio za urais ndani ya CCM, sasa ameelekeza nguvu zake jimbo la Kawe. Lengeri
Mtoto wa hayati Mwalimu Nyerere, Makongoro baada ya kubwagwa vibaya kwenye mbio za urais ndani ya CCM, sasa ameelekeza nguvu zake jimbo la Kawe. Lengeri
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,402 Jul 17, 2015 #2 Hatopata!, labda hatafute jimbo la vijijini kama prof. Muongo... Hata mjinga anajanjaruka. CCm wana hali mbaya sn.
Hatopata!, labda hatafute jimbo la vijijini kama prof. Muongo... Hata mjinga anajanjaruka. CCm wana hali mbaya sn.
P pire Member Joined May 26, 2015 Posts 29 Reaction score 10 Jul 17, 2015 #3 Kama alikatwa na kamati ya maadili ya chama chake naona hana sifa wala nafasi coz kamati ya maadili ndio ilimkata na hvyo naona nimpuuze tu
Kama alikatwa na kamati ya maadili ya chama chake naona hana sifa wala nafasi coz kamati ya maadili ndio ilimkata na hvyo naona nimpuuze tu
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,402 Jul 17, 2015 #4 Akumbuke kawe, ubungo ni ngome za upinzani kitambo sn.
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,109 Reaction score 3,054 Jul 17, 2015 #5 Duh ina maana ubunge wa JMT unalipa kuliko ubunge wa EAC?
A apana kusupa JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 210 Reaction score 30 Jul 17, 2015 #6 si apumzike tu
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,888 Jul 17, 2015 #7 Hahaa labda serikal.o za.mta huku wanamchinjia baharini
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,402 Jul 17, 2015 #8 Window7 said: Duh ina maana ubunge wa JMT unalipa kuliko ubunge wa EAC? Click to expand... atajishushia hazi (akikosa).
Window7 said: Duh ina maana ubunge wa JMT unalipa kuliko ubunge wa EAC? Click to expand... atajishushia hazi (akikosa).
Msulibasi JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 5,957 Reaction score 8,005 Jul 17, 2015 #9 pombe magufuli waziri mkuu pombe nyerere