Elections 2010 Makongoro Nyerere azitia doa kampeni za Kikwete

Usimlaumu dobi,kaniki ndivyo ilivyo. Kama watu wa Bunda hawamtaki Kikwete huwezi kusema kwamba Makongoro ameitia doa kampani ya Kikwete.
 
People's Power:
CHADEMA as they launched their presidential campaigns in Dar es Salaam towards end of August 2010. Freedom does not come easily. People have to sacrifice for it, people have to work for it, people have to earn it ... it's high time people 'earn' their true independence, true freedom and make their country stand among countries, figth a real fight against poverty, diseases, ignorance and corruption ... freedom to the people, for the people and by the people!
 
Last edited by a moderator:
CCm imekwesha,, hawana jipya

JK anasema amani na Utulivu... hii amani ni ipi???? na huu utulivu ni upi??????

yaani watanzania tudanganye na amani wakati Tanzania ni nchi maskini,, elimu mbovu,, miundo mbinu mibovu.. utawala wa kifamilia na urafiki na takrima umetawala,,, huduma za afya mbaya,,, kodi zimekuwa nyingi,,,<<<< HAKUNA HILO,, TUNAFANYA MABADILIKO...>>>

Watanzania tusidanganyinge na utawala huu wa ccm haufai tuupige chini sasa...

Mkuu yaani huu wimbo umekuwa ukiimbwa na CCM kila mahali kama danganya toto kwa Watanzania. Amani na utulivu viko wapi wakati vibaka wamejaa kila mahali, ujambazi watu wanavamiwa, mabasi yanatekwa mara kwa mara kisa ni umaskini wa kupindukia ulioletwa na CCM. Let them go away, waachie ngazi wasiendelee kutudanganya huku hali tunaiona kwa macho yetu na kui-experience.
 
Back
Top Bottom