Hii ilitokea mwaka 2010 alikimbia na masanduku ya kura. Alipelekwa kituo cha polisi buguruni lakini alitolewa. Alieshinda ubunge alikuwa Mpendazoe lakini Mahanga akatangazwa mshindi. Ni Kweli aliiba kura.Yaani huo muujiza ukifanyika chini ya awamu hii tutafurahi sana kwani tumechoka kupata viongozi walioko madarakani bila ridhaa ya wananchi walio wengi.
Naibu Waziri wa kudumu; kapiga miaka kumi kazi yake kujibu tu maswali bungeni.Muulizeni kwa nini haikubaki CCM ili aendelee kuwa mbunge Na naibu Waziri? Huyo ni team vibaka Lowasa Na Sumaye.Vibaka waliokuwa CCM walioondoka Na vibaka wakubwa Lowasa Na Sumaye
Ngoja nimuulize kama kweli alishinda. Mkuu Mpendazoe tusaidie, hivi ni kweli ulishinda na CCM wakakuibia kura?Hii ilitokea mwaka 2010 alikimbia na masanduku ya kura. Alipelekwa kituo cha polisi buguruni lakini alitolewa. Alieshinda ubunge alikuwa Mpendazoe lakini Mahanga akatangazwa mshindi. Ni Kweli aliiba kura.
Hii ni Kweli mkuuNgoja nimuulize kama kweli alishinda. Mkuu Mpendazoe tusaidie, hivi ni kweli ulishinda na CCM wakakuibia kura?
true !Ipo siku hata Shein atakuja kukiri hadharani.
kuna malofa kushinda hawa ?Halafu na nyie mmembeba na kumpa nafasi? Malofa wakubwa nyie
Umepiga penyewe. Hawa ndio malofa.kuna malofa kushinda hawa ?View attachment 846931View attachment 846932
tunawajua vizuri mkuuUmepiga penyewe. Hawa ndio malofa.
Hamna moral authoritykuna malofa kushinda hawa ?View attachment 846931View attachment 846932
Ukizoea kula nyama ya MTU...........Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya ilala DK. Makongoro Mahanga amesema wakati akiwa CCM alishinda ubunge kwa wizi wa Kura
View attachment 846819
Aliyechukua 1.5 trilioni utamuita nani?Muulizeni kwa nini haikubaki CCM ili aendelee kuwa mbunge Na naibu Waziri? Huyo ni team vibaka Lowasa Na Sumaye.Vibaka waliokuwa CCM walioondoka Na vibaka wakubwa Lowasa Na Sumaye
Hajui hata mbinu!Mwenzie alisema aachiwe ushindi saa nne kwa kuwa yeye ni mwizi wa kura na mbinu anazijua aibe sasa ili ushindi upatikane!
Na uenyekiti wa cdm ilala aliupataje?Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya ilala DK. Makongoro Mahanga amesema wakati akiwa CCM alishinda ubunge kwa wizi wa Kura
View attachment 846819