Makongoro Mahanga asema alishinda ubunge akiwa CCM kwa kuiba kura

Yaani huo muujiza ukifanyika chini ya awamu hii tutafurahi sana kwani tumechoka kupata viongozi walioko madarakani bila ridhaa ya wananchi walio wengi.
Hii ilitokea mwaka 2010 alikimbia na masanduku ya kura. Alipelekwa kituo cha polisi buguruni lakini alitolewa. Alieshinda ubunge alikuwa Mpendazoe lakini Mahanga akatangazwa mshindi. Ni Kweli aliiba kura.
 
Muulizeni kwa nini haikubaki CCM ili aendelee kuwa mbunge Na naibu Waziri? Huyo ni team vibaka Lowasa Na Sumaye.Vibaka waliokuwa CCM walioondoka Na vibaka wakubwa Lowasa Na Sumaye
Naibu Waziri wa kudumu; kapiga miaka kumi kazi yake kujibu tu maswali bungeni.
 
Hii ilitokea mwaka 2010 alikimbia na masanduku ya kura. Alipelekwa kituo cha polisi buguruni lakini alitolewa. Alieshinda ubunge alikuwa Mpendazoe lakini Mahanga akatangazwa mshindi. Ni Kweli aliiba kura.
Ngoja nimuulize kama kweli alishinda. Mkuu Mpendazoe tusaidie, hivi ni kweli ulishinda na CCM wakakuibia kura?
 
Nchi imegoma kuendelea kwa sababu watu wamegoma kubadilika, believe me or not
 
Halafu na nyie mmembeba na kumpa nafasi? Malofa wakubwa nyie
kuna malofa kushinda hawa ?
IMG-20180807-WA0008.jpg
IMG-20180811-WA0018.jpg
 
Mwenzie alisema aachiwe ushindi saa nne kwa kuwa yeye ni mwizi wa kura na mbinu anazijua aibe sasa ili ushindi upatikane!
Hajui hata mbinu!
Anajifedhehesha sana huyu Mzee.
CCM aliyoicha si hii ya leo!Alijiua jamaa yake Lowassa atashinda sasa ndoto imeshindika!
Dkt. Mahanga anayoyafikiria kuhusu Chadema kushinda ni ndoto ya mchana.

Dkt.Mahanga aisome tena kisa cha AL-NACHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya ilala DK. Makongoro Mahanga amesema wakati akiwa CCM alishinda ubunge kwa wizi wa Kura


View attachment 846819
Na uenyekiti wa cdm ilala aliupataje?

Ndio tumefika hapa? Yaani mwizi wa kura anaekiri wazi ni mwizi anapewa uenyekiti? Kwa chama cha demokrasia? Wizi ni kama ngozi once mtu ni mwizi hawezi acha mpaka anakufa.

Tuachane na hayo atuambie aliiba kwa maagizo ya chama au mbinu zake binafsi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom