idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
- Thread starter
- #21
Milango miwili na hata mitatu kwa mabasi ya abiria yana matumizi yake... Mlango wa mbele ni wa kupandia na mlango wa nyuma ni wa kushukia.. Hivyo neno "nyuma" bado litakuwa linatumika
we unaishi wap? kibongo-bongo milango yote ni ya kupandia, na kushukia.