DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda ametuma salamu Kwa vyama vya upinzani ambavyo vimegomea uchaguzi ambapo amesema wametia mpira kwapani lakini wao Chama Cha Mapinduzi(CCM)wanaendelea na michakato ya uchaguzi Mkuu 2025
Makonda ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya CCM
Makonda amesema kuwa Mkoa wa mara wa Sasa sio hule wa kukatana mapanga na kupeleka mauaji ila mara ya sasa ni ya kushiriki uchaguzi wa amani na utulivu ili kupata viongozi sahihi.
Pia Soma:Makonda: Kikundi kilichomtukana Magufuli ndio hicho kinamtukana Samia, 'mimi ni size yenu' njooni tupambane