vasilisa mzuri
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 113
- 55
Naomba kazi ya ukonda kwenye gari lako dada?!
ni upungufu wa adabu na maadili, kuwadharau wanawake
Nipatie tu dada yangu, ukiwa nalo mie napiga kazi, ukiwa huna basi nami natulia! Au vipi?Gari la watu hilo mi mwenyewe napiga day weka mara chache. Hizo siku nyingine nadandia daladala na kazi siombwi
Nipatie tu dada yangu, ukiwa nalo mie napiga kazi, ukiwa huna basi nami natulia! Au vipi?
Acha kunibania basi!Dei weka akipewa kazi hagawi bana, si ndio anaonyesha maujuzi yote.
Acha kunibania basi!
haya vasilisa mzuri, nasubiria!Hivi kuna mtu ananunua ubuyu saa hizi, nikinunua la kwangu nakupa kazi.