Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,446
- 989
Ujasiri wako na utendaji bila kupepesa umeifanya jamii sasa ikufahamu kuwa ewe ni mtu wa aina ipi katika utendaji.
Nilipokuwa boarding School mwaka 1990 kulikuwa viongozi pale shuleni waliokuwa wanakaa bweni linaitwa Azimio.
wale viongozi hata tukiwaonga sukari ili utoroke uende mjini siku ya jumamosi, watachukua sukari ila jumapili jioni ikipigwa kengele ya school pared kwa ukaguzi na kuhesabu wanafunzi waliopo ili kuwa ni lazima wataje majina hadharani (makonda ataja wauza unga hadharani).
Walikuwa shupavu sana kutimiza majukumu Kama-paul makonda.
Hata siku ya jumapili ambayo ndiyo wali na nyama lazima kila mwanafunzi apate sahani iliyojaa walikuwa ni viongozi shupavu kama-paul makonda.
Sasa haya mabweni mengine :-
Ujamaa, Mapinduzi, Jitegemee viongozi wakichaguliwa kutoka kwenye haya mabweni walikuwa wadhaifu kama viongozi (2005-2015).
Ilikuwa inapelekea hata kupita bweni la Azimio ni shida unaanzaje? (unaanzaje kupita kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa dar es salaam?
Ukiambiwa wakati ule viongozi wa shule wanakuita wapo bweni la Azimio lazima malaria ipande, ni kama wakati uliopo sasa ukisikia unaitwa na Paul makonda lazima!!!!!!!!
Baada ya miaka kadhaa kupita ndipo Tambaza kuvunjwa.
Na serkali kupangia wanafunzi hao watambaza wakajiunge na shule zingine za serikali na walipokuja tulipata wanafunzi 7 nao ilikuwa shida tu na ikawa bahati wakapata nafasi kwenye bweni la Azimio.
Fujo zikawa haziishi ndipo headmaster akawateua viongozi kutoka kwenye kundi la wageni kutoka tambaza.
Napata swali la kiuzushi :-
hao wanopinga juhudi za makonda wanataka kwenye kundi lao wachaguliwe kiongozi kama ilivyokuwa kwa wanafunzi wa tambaza?
Makonda vs Bunge=
Tambaza waliofukuzwa vs shule itakayowapokea.
Umenikumbusha mbali!!!!!!!!!