Makonda uadilifu ameanza lini?

Unajuaje kama Makonda hakuwa mfanyabiashara?
 
Si mlisema amekufa,,,imekuaje tena au maiti nayo iwe na uadilifu
 
Unapenda awe wa aje Sasa maana amekuwa mzuri Kwa watu hujapenda na akiwa mbaya pia hupendi Sasa afanyeje ufurahi
 
Hawa wazee cjui kwann wanamchukia kijana makonda ..jamaa yuko vizur mnoo kwenye utendaji wake
 
nape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…