oruguyo
Senior Member
- Jul 28, 2012
- 132
- 37
Tumekwisha Sema Vyombo vyetu vya ulinzi vipo kulinda Masilahi ya Mabwana zao, Watawala. Isitoshe tumekazia Maarifa Kwa kusema Siku zote, Viongozi na watumishi wengi, Walioko katika Majeshi yetu ni Iron Boy, kwawasio jua maana ya Iron BOy, ni watu wenye uwezo mdogo wakihakili na kufikiri, kwa lugha nyingine (IQ), Inteligence Quotient yao iko chini. Fanyeni Malejeo kipindi mnasoma kwa level zote, waliojiunga na jeshi uwezo wao ulikuwaje darasani?. Mtabaini tatizo kwa wenzetu hawa liko wapi?Sasa Chuueni Majibu Mloyapata kisha Husisheni na Mfumo, Hakika mtaiona shida. Wakoloni walipanda mbegu zilizokuja kuwamaliza, Nape Nimeumia kwa kilichokupata, Ila kumbuka Mbegu ulioipanda Haya ndo Matunda yake.Viongozi na Wanachama wa CCM badilikeni ,Tendeni haki, Nchi hii niyetu Sote vinginevyo Iposiku Yatawapata Makubwa kuliko ya Nape.Ghadafi Alizani Yeye ndo kila kitu Leo yukowapi ,Watoto wake na Ndugu zake kawaachia shida. Tafadhali Badilikeni.