Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Hii abracadabra yani Pata_potea ambayo Makonda umetuchezea mi nimenyoosha mikono, ila Mungu anakuona. Yani tumesahau nyimbo zote wiki mbili zilizo pita tulikuwa tunasikiliza nyimbo yako tu.
Tumekuja kufungua macho kumbe bei ya Gesi pamoja na Mafuta mmepandisha fasta fasta.
Leo naenda kununua mtungi ambao last time nilinunua 17,000 leo nimeuziwa 22,000. Yani ndani ya wiki mbili gesi imepanda bei kwa 30%????
Hivyo hivyo kwa petroleum na mafuta mengine.