Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
Aisee ! Ndiyo maana mwanangu aliniuliza swali tata kabisa , eti baba hivi ni Kwanini jua linatoka mchana wakati usiku ndiyo Kuna giza.. nafungua JF nakutana na nyingine . Kwa sasa Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
Vituko show, watu wanataka maendeleo ya miundombinu na fursa za ajira wao wanaleta Senema zetu, wanataka 2030 waje waseme waliahidi kumleta shozniga na wamemleta kama wale wa tisheti na kofia.. Hakika ni zakwetu 😐
Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
Ukimaliza wapelekee joti
Kila mwaka wapelekee msanii mmoja
Mwaka wa kuisha ubunge kaa nao waulize wanataka nini katika maendeleo
Halafu waombe kura zao ili uweze kutimiza matarajio yao katika maendeleo
Huyu mwanamtandao hatari Magufuli alistuka Mwishoni kalelewa na Samweli 6 alafu na Membe kachero mbobezi wanamtandao bado wako wapo sana alafu kuna watu wanamuona huyu ni shujaa wao polepole nae kijana wa wana mtandao japokuwa ni mtu wa maadili yeye team Magufuli kabaki polepole wazee wa chama kwanza
Governor mstaafu wa California aletwe na criminal unwanted na Marekani, hawa jamaa wanatuonaga makenge sana na Arnord kuja kunambadilishia vipi maisha mwanamama wa pale mbauda, matejoo au shamsi?
SAsa shoziniga akija Arusha ndiyo wananchi watapata maji? Kuna mwingine kwenye kampeni amesema akiwa rais kila mwananchi wa zanzibar lazima aoe wanawake zaidi ya mmoja.
Na wananchi wanapiga makofi. Raia washakata tamaa hadi hawaelewi wanataka nini, nini muhimu kwao, nini mbunge anatakiwa kuwafanyia...na nini haki zao toka kwa viongozi na serikali yao waliyoiweka wao wenyewe madarakani. Hivi hapo Arusha ndo kuna wale jamaa wanaitwa wadudu si ndio? Na hawa kina Mama wanaoshangilia kuletewa Schwarzenegger ndo Mama zetu si ndio? Na ndo waliotuzaa sisi vijana wa Arusha tuitwao wadudu si ndio?....sijui nataka kusema nini...anyways, itoshe tu kusema kwamba hii dharau kubwa sana toka kwa viongozi na watawala kwa sisi raia wema tusio na hatia.
Tatizo ni la hao wanaomsikiliza kwasababu hapo jamaa anaona ni kama anaongea na wadudu pamoja na wazazi wao. Sasa mdudu atamfanya nini binadamu? Arusha ishakua ya hovyo sana aiseeh 🤔
Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
Siyo kuboresha huduma za afya, elimu hasa libraries, madarasa na madawati, miundo mbinu, ustawi wa jamii, maji nk nk nk!
Yeye Arnold Schwarzenegger!
Na WADANGANYIKA wanafurahia na kupiga makoti?!
Hakuna kitu hapo!