Mtasema sana mtalalama sana hadi mapovu yatawatoka mdomoni, mkubali msikubali, mpende msipende, PAUL MAKONDA ndiye mkuu wetu wa mkoa, wewe pamoja na digrii zako kama unazo, hujapewa hata ubalozi wa shina. Acheni kijana wetu afanye kazi, Mh. acha kusikia la watu, wao watasema usiku watalala wewe CHAPA KAZI.