Kutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kwendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe nae bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla.Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania,Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania,Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani,ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
HAZINA YA UBABAISHAJI HUYO HANA LOLOTEKutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kwendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe nae bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla.Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania,Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania,Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani,ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
Wapo vijana wenye maono ya mbali na wasiotereshwa na propaganda za wapinzani hapa ndipo unamkuta NAPE,MWIGHULU,MAKONDA,JANUARY na wengine hakika utawala wa tano tumewabahatisha viongoziKutokana na uongozi wake wenye misimamo ni dhahiri kabisa kua huyu kijana ni hazina kwa Taifa kama Tanzania,Taifa lililokua linamhitaji kiongozi shupavu,kiongozi anasiyetetereshwa ila kusimamia lile ambalo analiona lina maslahi kwa eneo lake na Taifa kwa ujumla.
Mh Makonda ni miongoni mwaka watendaji wa serikali walioweza kwendana na kasi ya Mh Rais,ni vyema tukamuunga mkono kijana huyu tuwe nae bega kwa bega kwa maslahi mapana ya mkoa wetu na Taifa kwa ujumla.Dar es Salam ndio kiini cha Tanzania,Tunapoitaja DSM basi tunaitaja Tanzania,Mh Makonda amefaulu kwa kiasi kikubwa hasa kusimamia amani,ulinz na usalama wa mkoa akiwa kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.
Kijana Makonda ni kama amezaliwa kuongoza kutokana na utashi wake katika uongozi.Makonda ni Magufuli ajaye.Taifa linamhitaji sana kwa sasa.
Mie bado nitaendelea kutatizwa na tafsiri ya ujana katika siasa!Wapo vijana wenye maono ya mbali na wasiotereshwa na propaganda za wapinzani hapa ndipo unamkuta NAPE,MWIGHULU,MAKONDA,JANUARY na wengine hakika utawala wa tano tumewabahatisha viongozi
Wanaopinga kila kitu hawakosi,ila ni nasema mh makonda ni MTU sahihi kuwa mkuu wa mkoa huu wa DSM,P.Makonda tupo began kwa bega mkuuHatuwez kumchagua mtu kuongoza nchi kwa maono yako ww