Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,418
- 1,278
Hints kuhusu Makonda:-
(a). Anachukia dhuruma
(b). Anachukia watu wanaofanyakazi kwa mazoea
(c). Anapenda CDM waje CCM kuijenga nchi
(d). Ni mwalimu mwema kwa CCM, CDM na vyama vyote nchini,
(e). Amewakata pumzi viongozi wa upinzani waliokuwa hatari kisiasa i.e Lissu, Mrema, Mnyika, Zitto, Mbowe, nk
Taifa tumevhoka kuchezewa "majibu ya changamoto zetu siku zote tutayapata CCM na si CDM aka watoa taarifa.
Nzengeli wa Kakonko