Makonda ni "Asset" au ni "Liability kwa CCM na serikali yake?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,685
149,894
Lowassa alipoamua kujinga CHADEMA,Kuna mtu alihoji kama ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA ni asset au ni liability.

Leo hii na mimi nahoji utendaji wa Makonda ni asset au ni liability kwa CCM na serikali yake?

Ukikosea kuteua umeikosea Ilani na ukiikosea Ilani umekosea ahadi zako na ukikosea ahadi zako umedanganya.
 
ASSET OR LIABILITY?

Kama Kiswahili Tumia Kiswahili Kama Kiingereza Tumia Kingereza
 
Ana akili sana lakini zimekosa msingi mzuri hivyo haziwezi kusimama! Ni suala la muda tu!
Ila mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Taifa hili halijapata kuwa na MTU jasiri aliyeweza kuthubutu kuongoza mapambano dhidi ya madawa ya kulevya kama mheshimiwa huyu! Kitumbua ni kitamu shida tu ni kwamba kimeingia Mchanga hivyo hakiliki tena!
 
Kwa kupambana na Nyandu Tozi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom