Makonda, Nape ni jino kwa jino kuhusu wabunge na madiwani wanaohamia CCM

Nape bado hajakubali kuangushwa na bashite..
Muda utakiwa shahidi mbele ya safari, kwa vile wote ni vijana basi Mungu awajalie maisha marefu ili tuone mwisho wa battle hili, mkulu hatuwezi kumtegemea sana maana kama akikomaa sana basi 20 yrs kwenye game labda alivyo na miujiza Mungu anaweza kumfanya kama kinabii Eliya kwa kumpa miaka lukuki mbele, otherwise hakuwa na bahati ya kuanza "kutawala" mapema kama kina PK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa sehemu moja tu ya jibu la Nape, eti uchambuzi wa kisomi, sayansi ya siasa kama elimu yako ndogo huwezi elewa. Sasa anatuonesha dhahiri jamaa elimu yake ndogo sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa hawa madhalimu. Damu zisizo na hatia walizomwaga haziwezi kuwaacha salama, mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Bombardia, Dreamline,Rugemarila ndani na singasinga wake stieglers SGR Tazara flypass nk..

Mnyoosho wa watumishi wa umma,kupambana na rushwa,...kasi ya magufuli ni kasi ya ajabu mpaka wapinzani wanakodoa tu na kujifuta vumbi.
Mbona Bashite hana vyeti na mpaka leo anadunda tu! Vp jeshini hakuna vyeti feki? Mnyoosho gani sasa unaouzungumzia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda yuko sawa kabisa" KAMA ALIONA KUNA UKWAKWASI AU NAMNA GANI VIPI KWA NINI ALIENDA WAPIGIA KAMPENI WALIOHAMA?" .....fullstop.mengine ni makorokoro tu. Nyumbu mu hoi jahazi linazama hivyo akiona tawi analikamata anaona litamsaidia. Ati 2020, tizama yanayokukumba sasa wewe unaangalia huko utakuta nyumba imebomoka kabisa
Makonda yuko vizur,Nape ni mnafki.Hukubaliani na hamahama lkn unaenda kupiga kampeni,unataka kugundua nn kama sio UNAFKI?Kwanini asijivue ubunge kuonesha hakubalian na haya mambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Makonda haoni gharama za uchaguzi? Kwani wakihama na ubunge wao na maslahi waliyonayo yakahamia kwa chama kipya, kuna shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu hoja ya Nape ni nzuri tu coz hapingi ujio wa wanaohamia chama chake bali anaangalia kwa mapana madhara ya gharama za kurudia uchaguzi. Kwa msingi huo nadhani ndio maana alishauri uwezekano wa sheria mpya itayoruhusu wageni wahame na nafasi zao badala ya kurudia uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom